Safari ya haraka ya Glamo

Watoa huduma wa Glamo wanakufikia haraka kwa pikipiki.

Ukiweka booking, tunamtuma mtoa huduma wa karibu ili akufikie kwa muda mfupi na huduma ianze kwa wakati.

Mwitikio wa haraka Ombi lako linashughulikiwa mapema.
Mtoa huduma wa karibu Tunakupangia aliye karibu na wewe.
Kufika kwa wakati Huduma inaanza kwa muda uliopangwa.
Usafiri wa Glamo kwa pikipiki
Usafiri wa haraka kukuletea huduma ulipo.

Jinsi safari inavyofanya kazi

Hatua 3 fupi na rahisi.

01

Mteja anachagua huduma

Mteja anachagua huduma anayohitaji na kuweka booking.

02

Mtoa huduma anapata order

Order inatumwa kwa mtoa huduma wa karibu mwenye upatikanaji.

03

Anapanga safari

Mtoa huduma anajiandaa na kuanza safari ya pikipiki.

04

Anafika kukupatia huduma

Anakufikia kwa wakati na huduma inaanza mara moja.

Safari fupi, huduma kwa wakati

Pikipiki inasaidia kufika haraka na kupunguza muda wa kusubiri.

  • Kufika mapema hata kwenye foleni.
  • Mtoa huduma wa karibu anapangiwa kwanza.
  • Muda wa kusubiri unapungua.