Akaunti na matumizi
Usitumie akaunti ya mtu mwingine. Tunaruhusu kufunga akaunti inayokiuka taratibu za mfumo.
Kwa kutumia Glamo, unakubali kufuata masharti haya ya msingi.
Usitumie akaunti ya mtu mwingine. Tunaruhusu kufunga akaunti inayokiuka taratibu za mfumo.
Booking inategemea upatikanaji wa mtoa huduma. Ratiba inaweza kubadilika kwa taarifa ya mapema.
Hairuhusiwi kutumia lugha ya matusi, udanganyifu wa malipo, au taarifa za uongo ndani ya mfumo.