Glamo Tanzania

Pendeza bila kutoka nyumbani.

Chagua huduma na mtaalamu wa karibu atakufikia haraka.

154 Huduma zote
455 Watoa huduma wote
0 Washa location
Hakuna huduma iliyopatikana kulingana na filter ulizochagua.

Jinsi inavyofanya kazi

Hatua chache tu kupata huduma nyumbani kwa haraka.

1

Washa location (hiari)

Ukiruhusu location utaona idadi ya watoa huduma waliopo karibu ndani ya 5km.

2

Chagua huduma

Angalia huduma 4 za mwanzo au fungua "Huduma zote" kuona kila huduma iliyo kwenye mfumo.

3

Book na mtaalamu afike

Chagua huduma, thibitisha taarifa zako, na mtoa huduma atakufikia nyumbani.

Unafanya kazi ya urembo? Jiunge na Glamo.

Sajili account ya mtoa huduma, weka huduma unazoweza kutoa, na uanze kuonekana kwa wateja waliopo karibu nawe.