Maswali
Tumia search au chagua category.
Kwa Wateja
3 maswali
Ninawezaje ku-book huduma?
Nenda kwenye “Tafuta huduma”, chagua huduma unayotaka, kisha ingia (OTP) na uendelee ku-book.
Je, lazima niwashe location?
Hapana. Lakini ukiwasha, utaona watoa huduma walio karibu zaidi na itasaidia upate haraka.
Ninawezaje kubadilisha booking?
Kwa sasa, ukihitaji kubadilisha booking tafadhali wasiliana na support. (Feature hii inakuja).
Kwa Watoa Huduma
3 maswali
Ninawezaje kuonekana kwa wateja?
Hakikisha una approval, uko online, na una location iliyowashwa. Pia weka huduma zako active.
Ninawezaje kuongeza huduma ninazotoa?
Baada ya kuingia, utaweza kuchagua huduma unazotoa na kuweka bei (feature inaboreshwa).
Kwa nini siioni booking?
Angalia status yako (online), location, na kama una debt (ikiwa ipo) inaweza kukuzuia kuonekana.
Booking
2 maswali
Booking inachukua muda gani kuthibitishwa?
Inategemea upatikanaji wa watoa huduma. Ukiwasha location, nafasi za karibu huonekana haraka.
Naweza ku-cancel booking?
Ndiyo (taratibu zinategemea status). Kwa sasa, support inaweza kukusaidia haraka.
Malipo
2 maswali
Bei inamaanisha nini (base price)?
Base price ni bei ya kuanzia. Bei halisi inaweza kutofautiana kulingana na mtoa huduma na mahitaji.
Ninalipaje?
Njia za malipo zinaboreshwa. Kwa sasa, utapata maelekezo kwenye hatua za booking.
Account
2 maswali
Sina OTP / OTP imechelewa
Hakikisha namba yako iko sahihi, simu ina network, kisha jaribu tena. Ikiendelea, wasiliana na support.
Ninawezaje kubadilisha namba ya simu?
Kwa sasa, support itakusaidia kubadilisha taarifa zako. (Self-service inakuja).
Usalama
2 maswali
Nifanye nini nikipata tatizo na mtoa huduma?
Tafadhali wasiliana na support mara moja. Tutaandika report na kuchukua hatua stahiki.
Glamo inahifadhi vipi taarifa zangu?
Tunahifadhi taarifa kwa usalama na tunazingatia kanuni za faragha. (Policy page inakuja).