Glamo
Glamo Dry Cleaner
Glamo Dry Cleaner

Bei zote za kufua nguo na viatu

Angalia bei za kila item kabla ya kuagiza. Tunakuja kuchukua, tunasafisha kwa uangalifu, tunapack vizuri na tunakurudishia ulipo.

Orodha ya bei

Items zote na bei zake

Bei zinafuata huduma uliyochagua, mfano kufua tu, kufua na kukausha, kufua kukausha na kupiga pasi, au huduma maalum kwa bedding, viatu na fabrics.

0
Makundi
0
Items
TZS 15,000
Minimum order

Bei za Dry Cleaner bado hazijawekwa kwenye mfumo.

Pickup ya bure
Orders kuanzia TZS 50,000 ndani ya 5km
Pickup + delivery bure
Orders kuanzia TZS 80,000 ndani ya 5km
Speed
Same day na express zinaongezwa kulingana na subtotal ya items.
Jinsi inavyofanya kazi

Unaangalia bei, una-book, sisi tunamalizia kazi

1

Chagua items

Ongeza nguo, viatu, bedding au home fabrics unazotaka tusafishe.

2

Weka location

Chagua pickup au kuleta ofisini, kisha delivery au kujichukulia.

3

Ona total

Subtotal, pickup fee, delivery fee na express fee vinajumlishwa live.

4

Fuata order

Baada ya ku-submit, unaona status mpaka nguo au viatu virudishwe.

Book Dry Cleaner

Glamo Laundry Office - Mon - Sat, 08:00 - 20:00

Minimum TZS 15,000