Kuhusu sisi
Glamo ni huduma ya EsoTech (ERICK SOFTWARE TECHNOLOGY).
EsoTech ni kampuni ya software Tanzania yenye wataalamu zaidi ya 15. Glamo ilianza mwaka 2022 kwa lengo la kuleta mapinduzi ya huduma ya urembo mtandaoni.
Tumeendesha utafiti na majaribio kwa miaka 4 hadi sasa, na tumekuja na suluhisho hili kwa uzoefu na uhakika wa tunachofanya.